Upungufu wa maji mijini ndio kelele zote hizi? Huu ndio ubinafsi wa hali ya juu

Nchi nyingi zinavuna maji ya mvua karibu katika kila tarafa kuna water reservoir inayokusanya maji ya mvua kutoka barabara za lami. Maji haya yanatumika kwanza na maji ya mito yanakuwa secondary supply. Huwezi kutegemea maji ya mito 100%
Uvunaji wamaji ya mvua shida ni elimu tuu.

Katika nchi ambazo Mungu ametupa upendeleo bas sisi.
Karibu kila mkoa wa Tanzania una pokea mvua karibu miezi minne mfululizzoo, Tena zile mvua haswa.

Lakin ukipita kwenye majumba humu hakuna Ata mtu mweenye mfumo wa Uvunaji wa maji hayo.. Tena wengine Wame funga na zile gata kwenye mapaa Lakin maji Yana mwagwa.


Ikiwa kila mtu mwenye uwezo ange amua kusev haya maji Masi hata natumiza ya maji ya mamlaka zetu yange kuwa chini Sana
 
Nchi nyingi zinavuna maji ya mvua karibu katika kila tarafa kuna water reservoir inayokusanya maji ya mvua kutoka barabara za lami. Maji haya yanatumika kwanza na maji ya mito yanakuwa secondary supply. Huwezi kutegemea maji ya mito 100%

Ndiyo maana nikasema kwa TZ hatuna shida ya maji wala umeme maana tuna sources za kumwaga kwenye umeme tuna gesi,coal,upepo,biogas etc kwenye maji ndiyo usiseme TZ ukichimba kisima sehemu nyingi tuna maji safi na salama ,ukija kwenye mito ,maziwa tuna ya kutosha!! Tatizo naloliona viongozi wetu hawana plan ya muda mrefu ya kuwakomboa wananchi wao! wanajiangalia wao ,kuna mdau alishawahi kusema Ukiona mbunge au kingozi anapamba kuhusu kujengwa kwa miradi/barabara/umeme/maji basi ujue huo mradi/projects inamnufaisha yeye unapita jirani na nyumba yake.
 
Shida yetu inaweza kuwa akili ya kuweka vipaumbele.
 

Swali fikirishi adui namba moja wa Tanzania ninani?
 
Waliona kujenga kiwanja Cha ndege Cha kimataifa Kule Kijijini ndio kipaumbele chao.
 
Adui namba moja ni Bunge...Kivipi?

-Aliisimamii serikali ipasavyo
-Wanatunga sheria mbovu za kuifavor serikali
-Hawawakilishi matatizo ya wananchi na kuibana serikali watekeleze.
Bunge kibogoyo haliwezi Hata kujua matokeo hasi ama chanya ya Sera wanazozipitisha,'they are, there, like figureheads "
 
Mjini hakuna visima, mjini bila maji hata chooni huendi…. vijijini unakata gogo porini au choo cha kulenga kisha unapangusa kwa majani au kuburuta kwenye mchanga.
 
Mbona huku vijijini tupo wote pamoja na hata wafuasi wa mr #dishlimetilt? Au wewe unadhani maumivu wanapata wanaccm peke yake?
 
Kwania mapambio mnaimba wakati wa raha pekee imbeni na wakati wa shida pia, simnasema mmeipenda wenyewe.
Mbele kwa mbele,hahaa umenikumbusha mbali sana unawambia watu wataondoka wenyewe mjini,wewe ndiyo unaondoka na unasindikizwa kijijini
 
Miji kukosa maji hata kwa masaa tu ni tatizo kubwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…