MOIL KEEPLIER
New Member
- Dec 30, 2013
- 2
- 0
Mkuu ukifunguwa Thread 2 kwa wakati mmoja sio rahisi kujibiwa jaribu unapouliza swali lako uwe unavumilia utajibiwa lakini ukifunguwa Thread nyingi sio rahisi kujibiwa au hata ukijibiwa utajibiwa maneno ya pumba asante fanya subira wanakuja watu kukujibu.nambeni msaada wenu jamani