upungufu wa nguvu za kike

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
nini tiba ya hili tatizo jamani
 
nikusahihishe wanawake awana upungufu wa nguvu bali HAMU!!Nguvu mzipate wapi bana .......
 
nini tiba ya hili tatizo jamani

Tatizo hili ni kubwa sana kwa wanawake siku hizi.
SABABU
  1. Kuanza ngono mapema i.e miaka tisa
  2. Kuangalia mikanda ya ngono
  3. Kupiga chabo wazazi
TIBA
  1. Kuwa na mpenzi mmoja unayempenda ki ukweli (Usipende kwa sababu ya pesa)
  2. Acha kuangalia picha za ngono
  3. Tumia njia mbadala
 
Ww ni bebiii kwa maana jinsia yako ni ya kike? Au ni dizaini km ya wanaume wanaojiita chocolate?
 
njia mbadala ndo zipi? maana siangalii picha za ngono kabisa wala sina mpenzi ila sina nguvu kabisa
 
njia mbadala ndo zipi? maana siangalii picha za ngono kabisa wala sina mpenzi ila sina nguvu kabisa


Samahani naomba niulize, ulijuaje kama huna nguvu za kike?
 
sifeel kama hivyo vitu vinaexist katika mwili wangu


Naona kama ni tatizo la kisaikolojia zaidi. Ngoja wanataaluma waje watatuambia vizuri. Lakini kwa sasa ondoa wasiwasi na jisikie vizuri.
 
<b>njia mbadala ndo zipi? maana siangalii picha za ngono kabisa wala sina mpenzi ila sina nguvu kabisa</b>
<br />
<br />
thatha umejuaje kwamba huna nguvu? Ni pm nikupime kama zimepungua
 
punguza kazi,
punguza mawazo,
pata muda wa kutosha kwa maandalizi kabla ya tendo lenyewe,
kula virutubisho, i.e. asali, mdalasini, matunda kwa wingi,
na uridhike na mpenzi wako vile vile.
 
<b>njia mbadala ndo zipi? maana siangalii picha za ngono kabisa wala sina mpenzi ila sina nguvu kabisa</b>
<br />
<br />
sema hauna hamu, wala si nguvu. Wewe nguvu za kazi gani. Kwani ya kwako inahitaji ngùvu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…