upungufu wa nguvu za kike

Pole sana dear. Ila hayo ni mawazo yako tu...subiri umpate ndo utajua unazo au huna! All the best.

KH
...Said it all ...

I real don't see any problem there so far!!! ... you just standardized with the external word ... Just be you..wait for right moment!!
 
Hamu huja kwa kupitia hisia, sasa inabidi upate mtu wa kuamsha hisia zako ndo hamu utaipata. Wanawake hupoteza hisia za kimapenzi kirahisi zaidi kuliko wanaume na effect zao zipo tofauti..
 
sababu ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi zipo nyingi.

mfano
...mawazo au stress za kazi, nyumbani, shule n.k
...maambukizi katika sehemu za siri na via vya uzazi
...maandalizi wakati wa kufanya mapenzi/ wenza wengine wanashindwa kuwandaa vyema wenza wao.
...umri kuanzia miaka 45 na kuendelea kwa wanawake


kwa maelezo zaidi ya kidaktari........... napaiya@hotmail.com
 
Kwa kuwa haujaolewa maana yake hauna mahali pa kujaribia vuta subira wakati ukifika wewe utashangaa nguvu zitakapotoka nguvu unazo sema haujiamini tu goodday.
 
njia mbadala ndo zipi? maana siangalii picha za ngono kabisa wala sina mpenzi ila sina nguvu kabisa

sasa km huna mpenzi,umegunduaje kama una upungufu! kugundua si mpaka ufanye ili upime perfomance yako?
 
hiyo ni dalili ya kuwa na JINI MAHABA nione nikusaidie au nipigie 071* 964795 Kwa msaada zaidi.
 
njia mbadala zipi we mkimbizwa mbio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…