Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mwenye jukumu la kuwajibika ni mwanamke mwenyewe, utayari wa kimwili na kiakili wa mwanamke mwenyewe ndio utamuwezesha kuridhika na tendo.
Mwanamke hana hisia na anaefanya nae sex (kajiegesha tu kwenye hayo mahusiano sababu ya njaa au tamaa zake), mwanamke ana maex sio chini ya watano (wakati wote wa tendo anakulinganisha na maex wake), mwanamke anawaza utamuachia shilingi ngapi wakati wa kuondoka, hapo mwanaume hata ukeshe unajichosha tu.
Upungufu wa nguvu za kiume ni kama mwanaume anashindwa kusimamisha kabisa uume au hawezi kuendelea round ya pili baada ya round ya kwanza(kwa kawaida mwanaume anahitaji dakika 40 aendelee round ya pili, ingawa wapo wanaoweza kuendelea baada ya muda pungufu zaidi)
Mwanaume kuwahi kumwaga sio tatizo. Mwanaume kama unataka kuchelewa kumwaga ni suala la kucheza na saikolojia yako wakati wa tendo vile vile kuna aina ya vyakula, vinywaji, dawa au mazoezi ya kufanya ili uchelewe kumwaga (ingawa vinywaji na dawa sio chaguo salama)
Kujichelewesha kumwaga ni favor tu ambayo mwanaume anaifanya ili kumtosheleza mwanamke, sio lazima mwanaume kujichelewesha. Wanawake wanatakiwa wajue kufanyiwa favor sio haki ni hiyari ya anaekufanyia iyo favor.
Hii tabia ya kurusha lawama kwa wanaume tu inafanya wanawake wanajisahau na matokeo yake hawataki au hawajui kwamba na wao wanatakiwa kuwajibika.
Kinachoitwa upungufu wa nguvu za kiume ni stereotype tu iliyotengenezwa kwenye jamii ili watu wafanye biashara. Mwanaume ametengenezwa kisaikolojia kuwa ndie mwenye tatizo kwa sababu akilengwa yeye inalipa kibiashara ila ukija kwenye uhalisia wa tatizo shida ipo upande wa mwanamke.