Epateletech
Member
- Jun 17, 2015
- 45
- 20
Wewe umejuaje kama una upungufu tuweke sawa tukuelewe.Msaada wadau wa jamii forum nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume
Yaani haidindi au unapiga bao moja au ni vipi? fafanuaMsaada wadau wa jamii forum nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume
Ndo ivo aseee...mpaka leo huwa sijaelewa upungufu wa nguvu ni upi hasa
mzee kusimama kwa shida_ ama kwenda dk chache, ama kushindwa rudia tendo ama kuona pajà na kumaliza hapo hapo au mzee kutumia dk nyingi kuamka baada ya tendo la kwanza, au mzee kusinzia akiwa shimoni na haamki tena
daa yote hayo anakuwa nayo mtu mmoja, asa si bora ukate kifanyio icho kuliko kuwa unatenda dhambi za ajabu
Una umri ganiMsaada wadau wa jamii forum nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume
ni mda sasa zaidi ya mara tatu nikikutana na mwenzangu nikishindwa kufanya kitu yaani sisimamishi vizuri pia hata hisia nashindwa
haidindi vizuri pia nakipiga bao moja naishiwaYaani haidindi au unapiga bao moja au ni vipi? fafanua
haidindi vizuri pia nakipiga bao moja naishiwaYaani haidindi au unapiga bao moja au ni vipi? fafanua
miaka 23
asante kwa ushauriDawa Ni kula vizuri, samaki, mboga za majani Pamoja Na matunda!
Achana Na ma pizza, baga Na machips kuku mkuu!!
kusima kwa shida pia kushindwa kuamka baada ya bao la kwanzampaka leo huwa sijaelewa upungufu wa nguvu ni upi hasa
mzee kusimama kwa shida_ ama kwenda dk chache, ama kushindwa rudia tendo ama kuona pajà na kumaliza hapo hapo au mzee kutumia dk nyingi kuamka baada ya tendo la kwanza, au mzee kusinzia akiwa shimoni na haamki tena
Kamuone Daktari wa Magonjwa ya Akili, bado kijana mdogo sana, yawezekana ni tatizo la Kisaikolojia tu na sio kimaumbile...miaka 23
asante kwa ushauriKamuone Daktari wa Magonjwa ya Akili, bado kijana mdogo sana, yawezekana ni tatizo la Kisaikolojia tu na sio kimaumbile...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasema hizo nguvu zimefanyaje? Zinakuzidi au tatizo ni nn?Msaada wadau wa jamii forum nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume
nguvu kidogo sisimamishi vizuri na kushindwa kusimama baada ya bao la kwanzaHujasema hizo nguvu zimefanyaje? Zinakuzidi au tatizo ni nn?
hawa wanawake nao wanachangia kupungua nguvu mkuu, baada ya bao la kwanza mtu haoneshi manjonjo wala hamasa ya kumuamsha mzee upyakusima kwa shida pia kushindwa kuamka baada ya bao la kwanza