mkufunzi wa zamu
Member
- Sep 6, 2014
- 9
- 0
Wakuu habari za sahizi
Nna shida ya nguvu za kiume wana jamvi nafkiri kuna doc anaeweza kunsaidia katika hili au mtu yeyote anaefahamu maswala haya. Tatizo ni kuwa nna wahi sana kufika kileleni hvyo nashindwa kumridhisha mpenz wang na pia nkishamalza round ya kwanza inachukua muda mrefu sana kurudia tendo... nna miaka 23 tu na ni kijana wa kiume msaada tafadhali....