Upungufu wa Nguvu za kiume

Joined
Sep 6, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Wakuu habari za sahizi
Nna shida ya nguvu za kiume wana jamvi nafkiri kuna doc anaeweza kunsaidia katika hili au mtu yeyote anaefahamu maswala haya. Tatizo ni kuwa nna wahi sana kufika kileleni hvyo nashindwa kumridhisha mpenz wang na pia nkishamalza round ya kwanza inachukua muda mrefu sana kurudia tendo... nna miaka 23 tu na ni kijana wa kiume msaada tafadhali....
 
pole sana kijana wa kiume. tatizo lako ni la kisaikolojia. pia ni matokeo ya kufanya punyeto kwa muda mrefu kila siku tena kwa kusugua uume wako kwa viganja vya mikono yako migumu.

tiba mbadala
1. Acha punyeto kabisa.
2. Fanya mazoezi ya kutosha
3. Kuna zoezi moja la kubana misuli ya mkundu kwa dakika 2 mpaka tatu huku umebana pumzi
4. Fanya foreplay kwa muda mrefu kabla ya kuanza kugegeda.
 
Uzao wa chipsi yai huu
 
Kula vyakula mchanganyiko matunda, maji mengi, fanya mazoezi achana kabisa na Punyeto ww ni mdogo sana bila hivyo utaliwa mdogo wangu
 

Hiyo hats mm inanitokea sana, ila sema ukwel nyeto nimecheza sana, saiv nimeacha vyote kwa ujmla nikae mpaka mwaka uixhe nisau kabisa na mazoezi , labda wadau mngetusaidia hasa matunda yanayosaidia kwa majina yake
 
kula sana matikiti maji hasa ukitengeneza juice weka tangawizi na kitunguu swaum.....
koma manga nalo ni zuri...usisahau ndizi machungwa au ngoja nifungue vitabu nitakueleza maajabu ya mafuta ya tembo
 
Hebu nitafute pm kwa maelezo zaidi nina uhakika utafanikiwa.
 
DAWA YA KUONGEZA NA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME KWA ANAYETAKA!









Dawa ya kuongeza na kurudisha nguvu zako za kiume toka Amerika kwa jina hili VIRILITY PILLS GOLD (V-PILLS GOLD). Ukitaka hii dawa bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…