upungufu wa nguvu

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
naomba kuuliza,zamani nilikua naenda hadi bao sita ndani ya masaa manne lakini toka juzi nikifanya mapenzi naishia bao mbili,jana moja na tena nakua nimechoka sana.naoommbeni ushauri wenu tatizo ni nini hasa na tiba yake ni ipi.asanteni
 
Hivi hii kitu mpaka ufanye mara ngapi ndio uwe umepata starehe? Au umekuwa msosi hadi upate hadi snacks? kwani mara moja haitoshi?
 
Reactions: Sal
Hili sasa linakuwa janga la kitaifa. Unajua siku hizi hata zile kesi za mwanamke kurudi kwao kwa sababu ya kumkimbia mumewe (Mziki mzito) hazipo tena. Jamani, mbona vijana tunakwisha? Inawezekana hata takwimu za maambukizi mapya zikawa zimeshuka!
 
naomba kuuliza,zamani nilikua naenda hadi bao sita ndani ya masaa manne lakini toka juzi nikifanya mapenzi naishia bao mbili,jana moja na tena nakua nimechoka sana.naoommbeni ushauri wenu tatizo ni nini hasa na tiba yake ni ipi.asanteni

hizo mbili ndio normal kwa kila mtu,wewe ulikuwa unaenda sita au ulikuwa unatoa hewa???shukuru mungu amekurudisha kny hali hii ya kawaida,nahisi hata mkeo kafurahi ila hakwambii....maana goli sita lazima atakuwa alikuwa anachoka....jaribu kuzifanya hizo mbili ziwe za quality.:washing:
 
tumia kinywaji cha kanumba, jack daniels
 
 
Shida nyingine ninayoiona ni kwamba hajataja umri wake. Umri pia unachangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa performance. Thiery Henry kabla hajaenda Barca na kisha NYRB alikuwa na kasi ya ajabu but juzi kati aliposajili kwa mkopo ungeweza kuona kabisa kasi haikuwepo. Kwa hiyo kushuka kwa goals kunategemea na umri pia.
 
idadi ya bao ulizopangiwa na mwenyezi mungu zinakaribia kwisha, so watch out. bao sita za zamani si mchezo, kama huyo bibie alikua kanyamaza halalamiki, nae ana matatizo. kama ni mkeo, bao moja takatifu inatosha. kwani ulikua unashindana na nani?
 
Zamani ulikua unakula pumba mahindi na tangawizi ndio maana uliweza,tangu uanze kula biskut na viepe perfomance poor.
 
Shua man(MATEKA) unapiga bao sita umeambiwa kuna tanzanite huko, fanya kazi upate noti ckupoteza nguvu kwenye mambo yasio na faida, we wajua bao moja ni sawa na km ngapi ambazo ungetembea, acha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…