Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Hii haina hata haja ya salamu.
...
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza, naomba kuwakumbusha wahusika wa kuzisambaza Zana maeneo tofauti tofauti ya Nchi kwenye vyuo, guest house, lodge, ofisi za watendaji wa kata, zahanati, mahospitalini, nk kwamba sasa Zana zimehadimika yamebakia maboksi matupu na makasha matupu tu.
Naomba wahusika wanaosambaza hizo Zana wazisambaze na wajitahidi kuzisambaza maana sasa kuna ukame wa Zana watu wanaishia kupigana kavukavu bila Zana na Zana zinatafutwa kama dhahabu au almasi.
Jana nimemuonesha mtu Zana akashtuka ananiuliza umeipata wapi? Maana Zana hazionekani tena.
Nukta.
NB: Zana ni Condom za bure zinazotolewa na Serekali