Upuuzi mwingine wa Ikulu huu hapa

Upuuzi mwingine wa Ikulu huu hapa

Tinker

Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
67
Reaction score
26
Ikulu wanasema kuwa kuwa na website sio muhimu

Staff wa ikulu wanatumia e-mails za YAHOO

Ikulu wanasema kwa mwenye malalamiko anashauriwa aandike kwenye official e-mail ya ikulu:
mawasilianoikulu@yahoo.com

Hawa jamaa badala ya kwenda kujenga Ikulu inayoeleweka Dodoma wanazidi kufanya miradi yao isiyoeleweka Dar

Ikulu iliopo haina carpark na wakija waheshimiwa ndio mji mzima foleni

sasa solution yao ni ku spenda MABILIONI kwenye kujenga huu ukumbi mpya wakati watu wana njaa

Halafu mbona hawakutangaza hii kazi ya ku-design publicly kama PPA inavyotaka au ndio washaamua kupeana?

Lakini maswali ya msingi ni:

Wako wapi wale wana mazingira waliopinga ile barabara ya SERENGETI?

kilichobaki ni wawakilishi wa JAMII MEDIA wakienda kwenye MONTHLY press conference ikulu waulize maswali yafuatayo:

1. Kuna umuhimu gani kufanya hii project now

2. Project ita cost kiasi gani

3. Funding zitatoka wapi

4. Itachukua muda gani?

5. Kwa nini designers wamechakuliwa pasipo kutanganzwa kama Public Procurement Act inavyotaka (PPA)

6. Tender board ilitumia vigezo vipi?

7. Hiyo tenderboard ilikuwa na akina nani?

8. Je Environmental Impact Assessment Report inasemaje?

9. Mbona hatuambiwi kitu kuhusu Traffic Management? na mbona hatuambiwi ujenzi huu utaleta impact ya namna gani kwa waendao ferry na mjini

10. Kwa nini Ikulu isihamishiwe DODOMA?

11. Wale watu wa Mazingira waliopinga Barabara ya serengeti mbona wako kimya juu ya huu mradi?

12. Carbon footprint ya kiasi gani itapotea hapa kwa kukatwa miti? wamepanga vipi kuirejesha hiyo footprint?

Client: PRESIDENT'S OFFICE,STATE HOUSE
Project: New Multi-Function Hall
Location: State House, Dar es Salaam
Completion: Construction to commence 2012
Floor Area: 6000m2
Contract Value: Not Available

A new major multi-function venue at State House intended to cater for Banquets of up to 500 guests as well as international conferences. The main plenary space is supported by full, international standard, kitchen facilities as well as break out rooms, press areas, pre-function gathering areas and VIP suites. In order to minimize the impact on the State House surroundings the function hall has been designed to have a green (grass) roof so it blends into the surrounding landscaping. It has also been designed around an existing mature baobab tree which forms the centerpiece of the pre-function area.

1.jpg

3.jpg

4.jpg

5.jpg

6.jpg

7.jpg

8.jpg

9.jpg

10.jpg

IPA
 
jambo la kuangalia hapa sio ujenzi huo bali serikali inaingia hasara kiasi gani kwa kukosa eneo la namna hilo pale Ikulu. Umeangalia thamani ya ujenzi bila kuzingatia kwamba kwa sasa serikali au Ikulu inapotaka kutumia eneo kama hili inakwenda kukodi wapi na kwa thamani gani.
 
Nishakupeni upupu

kilichobaki ni wawakilishi wa JAMII MEDIA wakienda kwenye MONTHLY press conference ikulu waulize maswali yafuatayo:

1. Kuna umuhimu gani kufanya hii project now

2. Project ita cost kiasi gani

3. Funding zitatoka wapi

4. Itachukua muda gani?

5. Kwa nini designers wamechakuliwa pasipo kutanganzwa kama Public Procurement Act inavyotaka (PPA)

6. Tender board ilitumia vigezo vipi?

7. Hiyo tenderboard ilikuwa na akina nani?

8. Je Envyironemental Impact Assessment Report inasemaje?

9. Mbona hatuambiwi kitu kuhusu Traffic Management? na mbona hatuambiwi ujenzi huu utaleta impact ya namna gani kwa waendao ferry na mjini

10. Kwa nini Ikulu isihamishiwe DODOMA?
 
Wale watu wa Mazingira waliopinga Barabara ya serengeti mbona wako kimya juu ya huu mradi?

Carbon footprint ya kiasi gani itapotea hapa?

na wamepanga vipi kuirejesha hiyo footprint?
 
tuache siasa kwenye mambo ya uchumi na kuokoa fedha za mlipa kodi. Faida na hasara za mradi huo ziwekwe wazi kuliko kulalamika kwa kila jambo bila kuelewa undani wako. Ikulu haiwezi kujenga majengo ya wasiwasi lazima Ikulu izingatia ujenzi mkubwa unaoweza kutufikisha hadi miaka 100 ijayo au zaidi bila serikali kuanza ujenzi mwingine kwa madai ya majengo kupitwa na wakati.
 
Nishakupeni upupu

kilichobaki ni wawakilishi wa JAMII MEDIA wakienda kwenye MONTHLY press conference ikulu waulize maswali yafuatayo:

1. Kuna umuhimu gani kufanya hii project now

2. Project ita cost kiasi gani

3. Funding zitatoka wapi

4. Itachukua muda gani?

5. Kwa nini designers wamechakuliwa pasipo kutanganzwa kama Public Procurement Act inavyotaka (PPA)

6. Tender board ilitumia vigezo vipi?

7. Hiyo tenderboard ilikuwa na akina nani?

8. Je Envyironemental Impact Assessment Report inasemaje?

9. Mbona hatuambiwi kitu kuhusu Traffic Management? na mbona hatuambiwi ujenzi huu utaleta impact ya namna gani kwa waendao ferry na mjini

10. Kwa nini Ikulu isihamishiwe DODOMA?

chanzo chako cha taarifa hakikukupa hata hint moja ya jibu.....mmmmh. Ujenzi kama huu hauwezi kufanyika bila idhini ya bunge kwa maana kwamba bajeti yake lazima itapita bungeni ni kubwa huko bungeni ndiko wabunge watauliza tuwaachie
 
Kwa sasa taarifa hii haijitoshelezi ni kama inakosa maelezo ya zaida, aliyetuma thread hii ameshitushwa na design ya majengo bila kujali kwamba Ikulu inatakiwa kujengwa kwa kiwango cha hali ya juu kupita kiasi na ndio maana Ikulu kama ya USA iko karne nyingi kwa sababu waliwekeza kwa ajili ya kizazi kijacho.
 
wenye taarifa zaidi tunaomba ili tuweze kuijadili mada hii kwa haki badala ya chuki za kisiasa. Mambo kama haya ukiingiza U-chadema na U-CCM tumekwisha hakuna jambo la maana litakaloendelea hapa zaidi ya kejeri na vijembe vya kisiasa
 
Kwa sasa taarifa hii haijitoshelezi ni kama inakosa maelezo ya zaida, aliyetuma thread hii ameshitushwa na design ya majengo bila kujali kwamba Ikulu inatakiwa kujengwa kwa kiwango cha hali ya juu kupita kiasi na ndio maana Ikulu kama ya USA iko karne nyingi kwa sababu waliwekeza kwa ajili ya kizazi kijacho.

Hujamuelewa mleta taarifa!
 
Wanapiga fedha za walipakodi kama walivyofanya EPA na Twin Tower (BOT)
Akishaondoka mk.were ndio wadanganyika watashtukia
 
Kila mjinga anayekaa Ikulu anaacha legacy yake: ulianza ukuta, yakaja majengo mapya ya ndani na sasa ushenzi huu.
 
hii serikali ya m''kwere ni vururuvururu tu tangu aingie madarakani, sasa wanaharibu hadi nature ya magogoni, uuuuuuwiiiiiiiiiiiiiii.....niikahi moyo wangu.
 
Tumetishika zaidi na mchoro ambao sina hakika kama ndio wenyewe kweli na kuacha kujadili faida ya mradi huu. Wote tunakimbilia kwenye thamani ya ujenzi sio tutaokoa kiasi gani baada ya ujenzi huo kukamilika. Moja ya maeneo ambayo yanaingiza hasara serikali kwa sasa ni kukodi kumbi za kisasa kulingana na wakati uliopo huko nyumba serikali haikuwekeza kwenye kumbi. Kama kweli tunataka serikali yetu iache kukodi kumbi wakati wa mikutano ya ndani na kimataifa tunahitaji angalau kuanza kujenga ukumbi mmoja mmoja kadri miaka inavyosonga mbele
 
Ndiyo walivyo woooooooooooote serikali nzima hakuna wa nafuu .CCM
 
Kila mjinga anayekaa Ikulu anaacha legacy yake: ulianza ukuta, yakaja majengo mapya ya ndani na sasa ushenzi huu.

Washenzi wanajuana kwa vilemba vyao kweli ulitaka mjinga wewe ndiye tukupeleke Ikulu na matusi yako?
 
chanzo chako cha taarifa hakikukupa hata hint moja ya jibu.....mmmmh. Ujenzi kama huu hauwezi kufanyika bila idhini ya bunge kwa maana kwamba bajeti yake lazima itapita bungeni ni kubwa huko bungeni ndiko wabunge watauliza tuwaachie

Mama Porojo acha Porojo na assumption zisizo na vigezo. Ni wazi mkuu wewe si msemaji wa Bunge ama Ikulu, sasa iweje wewe unajiweka kimbelembele na utabiri wako usio na vigezo? Ni nani ambaye hajui kuwa hili swala halijapitia Bungeni na hata kwenye tender boards! Watu wa jamii yako ndio wamesaidia kuifikisha hii nchi mahali ilipo. Acha Watu wahoji mstakabali wao na nchi Yao. Sio vibaya ukikaa kimya badala ya kututhibitishia kuwa wewe umeamua kufa na hayo mawazo mgando.
 
Kwa sasa taarifa hii haijitoshelezi ni kama inakosa maelezo ya zaida, aliyetuma thread hii ameshitushwa na design ya majengo bila kujali kwamba Ikulu inatakiwa kujengwa kwa kiwango cha hali ya juu kupita kiasi na ndio maana Ikulu kama ya USA iko karne nyingi kwa sababu waliwekeza kwa ajili ya kizazi kijacho.
Wewe mama mbona uko bize sana kujibu Inaonekana umetumwa nini? Hebu tuambie kama project hii ni priority kwa hali ngumu ya kifedha na ugumu maisha tulionao. Wananchi wengi hivi sasa tumesimamisha project zote za maendeleo na kubaki na kuganga njaa tu maana kipato hakitoshi kufanya Project yoyote ya maendeleo labda kama wewe ni fisadi.

Kaanei chini mfikiri kama project hii ni priority kwa sasa. Pia tungetamani kufahamu gharama ya hii project maana kama kawaida lazima itakuwa ni inflated value project kama kawaida ya mafisadi.
 
Back
Top Bottom