Upuuzi mwingine wa Ikulu huu hapa


Hii design ilikuwepo tangia miaka ya Che Nkapa, wakati huo pesa ya kutekeleza mpango huu walikosa ufadhili, sijui labda katika ziara zake nyingi huko nje ya nchi labda kapatikana mwekezaji?.
 
Bongo bwana, bado viongozi hawajui nguvu ya wananchi, na wananchi nao bado hawajui nguvu yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…