Upuuzi special Thread

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Uzi wa kijinga usio na maana humu JF unawakaribisha yeyote mwenye kujisikia kuongea upuuzi amalizie humu kwenye huu uzi

Upuuzi unaweza elimisha jambo fulani.

SEMA UPUUZI WOTE HUMU
 
Wale walio wahi wote walikula,wewe imechelewa unang'aka mini?

Unge wahi na hii baiskeli rudi nayo .
 
Kuna upuuzi wa kulipwa.
 
funding matanki yaliyopasuka 0789679670
 
Kama kuna malipo nitaweka upuuzi wangu bila hivyo siko tayari kupoteza upuuzi wangu humu
 
Huu uzi umekuja wakati muafaka
Kwa watu muafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…