Upuuzi wa NACTE NA TCU: 185 CLINICAL OFFICERS WATUPWA NJE

Mkuu Kachanchabuseta, hayo ni kati ya mambo ambayo serikali inabidi iyaangalie kwa ukaribu.Maafisa tabibu ni kada muhimu sana kuiendeleza,kama tuko serious kupambana na adui maradhi.Nakushauri usikate tamaa. Hivi T.C.U wameshatoa orodha ya wanafunzi kwa mwaka 2013/2014?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…