tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Mods naomba msiunganishe hii thread na nyingine plz.
Nikiwa kama shabiki wa Simba nimesikitishwa na matokeo ya fainali ya kufungwa na Gor Mahia goli 2-0.
Hii michuano licha ya bingwa kupata $30, 000 pamoja na kombe lakini pia kuna fursa ya kwenda kucheza na Everton ktk uwanja wa Goodson Park katika ardhi ya Malkia na pia kuweza kuuza talents za wachezaji wa timu husika na nchi kwa ujumla.
Lakini kudhihirisha namna viongozi wetu wa klabu walivyo na maarifa finyu na kutokuwa serious na soka letu, wakaamua hii michuano waichukulie kama bonanza la kujaribia wachezaji wapya kikosini bila kujali exposures zilizo mbeleni kwa timu itayokuwa bingwa,, huku wachezaji wetu nguli wakiwa majumbani kwao. Huu ni uzwazwa!!
Wenzetu Wakenya Gor Mahia wameonesha useriousness kwa kushusha kikosi kamili wakijua exposures zilizo mbeleni na kutoiacha fursa lakini sisi huku waTz kwa upuuzi wa viongozi na benchi la ufundi la Simba tunafanya ujinga ujinga tu.
Kucheza na Everton ni exposures nzuri sana na kiwango flani kunaweka talents za players wetu sokoni maana itatazamwa na watu mbalimbali wakiwemo maskauti wa baadhi ya vilabu hata vya madaraja ya chini ya nchi husika (England) au hata jirani huko majuu.
Inakera sana kuwa na viongozi maamuma ktk soka la nchi yetu, miaka nenda rudi tutakuwa hivi hivi kwa ujinga ujinga na mzaha tunaofanya.