Upuuzi wa viongozi wetu na benchi la ufundi wa Simba Sc katika michuano ya SportPesa 2018

Haruna Niyonzima aliyekuwepo kwenye kikosi kilichoshiriki michuano ya Sportpesa.

Leo hakuwepo, licha ya hivyo bado majembe yetu mengine hayakuwepo!

Na hichi ndicho tunacholalamika, matokeo mabovu yamesababishwa na uzembe wa viongozi na benchi la ufundi.

Wanapaswa kuwajibika juu ya hili.
 
Mbona haya yakiongelewa kwa yanga hamtaki kuyaamini?,
 
Kuna siku nilisema humu siasa wanayoifanya Simba kwenye mpira itawagharimu mbeleni.. Nashukuru mambo yanaonekana mapema.
 
Majembe kama Okwi, Boko, Kotei, Gyan, Ndemla, Niyonzima nk wote hawakuwepo ktk mashindano
Yapeleken shamban majembe yenu yakalime, hapo ni okwi na boko tu hao wengine niwachezaj wabenchi hata vpl wamecheza kwamachale
 
Inakera sana kuwa na viongozi maamuma ktk soka la nchi yetu, miaka nenda rudi tutakuwa hivi hivi kwa ujinga ujinga na mzaha tunaofanya.
Wanaboa sana viongozi wetu upuuzi mtupu, kila jambo hatuko makini, na hata wachezaji wenyewe hawakua makini watu wamefungwa wanacheza kama wameshinda
 
Reactions: tyc
Timu za watanzania zina viongozi washenzi sijui wanapata wapi watu wa kuwaunga mkono. Tazama Yanga wameondoa timu kwenye maahindano. Watoto wale ajira yao. Bongo kila kitu nyoronyoro tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…