Upweke : Fahamu viashiria vya upweke,vyanzo vyake na madhara yake & njia 4 za ufumbuzi

Sa Safi sana kwa maarifa makini mno.
 
Ngoja Kidogo...; Kama mimi ni Mpweke alafu sitambui wala sina shida na Upweke huo sasa nifahamu kama ni Mpweke ili iweje ? Yaani nifahamu kwamba ni Mpweke (wakati huenda nilikuwa na furaha na Upweke wangu) ili sasa nipoteze ile furaha ?

Binafsi naona kama hauna furaha basi fanya uwezalo kurudisha furaha yako na kuwa na furaha kuliko kutumia muda kutafuta definition ya ulichonacho; (Muda huo bora tafuta hobby) am sure itaondoa hicho unachotafutia defition yake.

Idle Hands are the Devils Plaything....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…