sungura23
Member
- Apr 1, 2013
- 52
- 73
Habarini wana JF?
Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka.
Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe:
1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe mdada ambaye unaweza kuwa huru kunitania, kunichokoza, uwe na stori za hapa na pale yaani kifupi tupeane kampani kwa sana. Sihitaji mwanamke mzuri halafu sio mchangamfu.
2. Elimu sio kigezo kikubwa sana, kama ulimaliza kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi. Kikubwa uwe na ufahamu na ujitambue ili tusiwe tunabishana vitu ambavyo vinahitaji akili kidogo.
3. Nasikitika sivutiwi na wadada wembamba. Ukiwa bonge ni vizuri lakini usiwe na unene wa kupitiliza. Pia ukiwa na mwili wa kawaida si mbaya kikubwa usiitwe mwembamba. Nadhani nimeeleweka.
Vigezo vingine havina shida, sina ubaguzi wa dini, umri (wale anti zangu kuweni huru karibuni pia), kazi (maisha ni kutafuta ilimradi tu kazi yako ni halali) au kabila.
Mimi nina miaka 31,sijaoa bado, nina elimu ya chuo na nimejiajiri jijini Dar. Nimekuwa nje ya mahusiano kwa muda kidogo ili nifanikishe baadhi ya malengo yangu.
Karibu PM tuyajenge jamani
XOXO