Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekaa ndaniya huu mji wa mabomu wiki ya pili sasa naona nakaribia kupata depression kwani niko mpweke. kwa wadada waliopo Arusha anayehitaji mtu wa kupeana kampani tuwasiliane kwa PM! Mimi ni mwanaume.

Tafuta hobby, ukifanya kitu unachokipenda sana baada ya kufanya shughuli sinazokuwezesha kumudu maisha wala hutahisi upweke.
kazi zangu hata hivyo zinaniweka busy sana. lakini kuna wakati najikuta nahitaji mtu wa kwenda naye kula nyama choma na kupiga naye story na kubadilishana mawazo. suyo kwamba niko loose muda mwingi
Nenda place inaitwa Le Manyatta plaza ni opposite na Golden Rose hapo upweke utakuisha! Si unaaka wadada wa kukupa company tu? Hapo watakuwepo wengi tu.
asante kwa ushauri wako!Usilazimishe company unaweza kukutana na za ajabu ukajuta. Ukiona upweke sana nenda kanunue nyama choma waambie wakufungie nenda nyumbani kula huku unaangalia TV na bia. Ni vizuri uwe na company unayo itrust.