Upweke umenizidia!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,986
Reaction score
5,058
nimekaa ndaniya huu mji wa mabomu wiki ya pili sasa naona nakaribia kupata depression kwani niko mpweke. kwa wadada waliopo Arusha anayehitaji mtu wa kupeana kampani tuwasiliane kwa PM! Mimi ni mwanaume.
 
Tafuta hobby, ukifanya kitu unachokipenda sana baada ya kufanya shughuli sinazokuwezesha kumudu maisha wala hutahisi upweke.
 
Nenda place inaitwa Le Manyatta plaza ni opposite na Golden Rose hapo upweke utakuisha! Si unaaka wadada wa kukupa company tu? Hapo watakuwepo wengi tu.
 
only that........?
 
Tafuta hobby, ukifanya kitu unachokipenda sana baada ya kufanya shughuli sinazokuwezesha kumudu maisha wala hutahisi upweke.

kazi zangu hata hivyo zinaniweka busy sana. lakini kuna wakati najikuta nahitaji mtu wa kwenda naye kula nyama choma na kupiga naye story na kubadilishana mawazo. suyo kwamba niko loose muda mwingi
 
Usilazimishe company unaweza kukutana na za ajabu ukajuta. Ukiona upweke sana nenda kanunue nyama choma waambie wakufungie nenda nyumbani kula huku unaangalia TV na bia. Ni vizuri uwe na company unayo itrust.
 
Nenda place inaitwa Le Manyatta plaza ni opposite na Golden Rose hapo upweke utakuisha! Si unaaka wadada wa kukupa company tu? Hapo watakuwepo wengi tu.

sitaki kahaba ambaye unamtafuta ukiwa na libido iko juu tuu! nataka mtu ambaye tutabadirishana na mawazo mengine. ningekuwa nahitaji hao wala nisingehangaika kuandika humu nafahamu maeneo wanayopatikana.
 
Usilazimishe company unaweza kukutana na za ajabu ukajuta. Ukiona upweke sana nenda kanunue nyama choma waambie wakufungie nenda nyumbani kula huku unaangalia TV na bia. Ni vizuri uwe na company unayo itrust.
asante kwa ushauri wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…