katt williams
Member
- Nov 9, 2009
- 31
- 1
Kiongozi kila la kheri.
Ila angalia wengine midume huku wanajifanya mademu. usije ukaweka appointment na dume jenzio pakawa hapatoshi.
mmmhhhh wewe yaelekea uko serious,ni PM basi tuongee.......at least leo kigezo changu cha elimu ya kuzaliwa kipo.....kila siku nilikuwa nikitaka ku-apply elimu unakuta wanataka kuanzia form four.....leo hii yaweza kuwa riziki...........kila la kheri mkuu....:coffee:
huko bank huyawapata???? barabarabi?, jirani? kanisani? hadi uje huku??? wacha mchezo bana, mke mwema anatoka kwa Mungu na wala hutakiwi kutoa tangazo.
mmmhhhh wewe yaelekea uko serious,ni PM basi tuongee.......at least leo kigezo changu cha elimu ya kuzaliwa kipo.....kila siku nilikuwa nikitaka ku-apply elimu unakuta wanataka kuanzia form four.....leo hii yaweza kuwa riziki...........kila la kheri mkuu....:coffee:
inaelekea hii thread sio zile za kutunga..
All the best my dear....
Mimi ni kijana mwenye elimu ya uzamili, na ninaf anyakazi katika benki. Sijaoa na siku zinazidi kwenda na ningependa kuwa na familia.
Kiumbile mimi ni mpana kiasi, sio menene. Nakunywa kidogo na nimtu wa kupenda kutoka.
Natafuta msichana mnene kidogo au wastani, kusema ya ukweli wembambaaa siwezani nao. Awe na elimu ya kuzaliwa/kupambanua mambo. Kabila lolote na mcha Mungu.
Wandugu niko serious sana katika ombi langu naamini kama una ndugu au rafiki umfikishie ujumbe huu.
"Am a pimp, and I love pimping . .
Niko serious sana, na kudhibitisha hilo kuna member humu wananijua physically na wanaweza kuelezea stutus yangu ya maisha na ninaloomba hapa, kuna Aspirin, Teamo, Fidel80, Rev Masanilo na mkewe mzenji pamoja na ndugu yangu Nguli Jabali
Piga kwanza elimu ya Uzamivu..unajua siku hizi u-Dr nao ni deal.
thanx for the details i will follow them hahahah lol
and im gona go to do my home work now....
Am a pimp, and I love pimping .
hey sorry babs gonna take back ma words