Upweke unanisumbua

Upweke unanisumbua

HEllow

Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
100% chanzo ni mahusiano...
Anyways, pole sana....
Anza kujichanganya na watu tofauti na ulio wazoea kila siku.
Anza kujitoa out na kwenda beach ikibidi.
Jiepushe kabisa na unywaji wa pombe katika kipindi hiki.
Jifunze kuanza kuwahi kurudi nyumbani na pika chakula kizuri unacho kipenda.
Pendelea kunywa juice ya machungwa kwa wingi.
Zima sim kabisa inapo fika muda wa kulala.
Pelndela kuangalia movie za simulizi mbalimbali.
Soma vitabu na kadhalika nakadhalika.
Usijaribu kuingia kwenye mahusiano mapya hadi ukae sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom