Shukrani100% chanzo ni mahusiano...
Anyways, pole sana....
Anza kujichanganya na watu tofauti na ulio wazoea kila siku.
Anza kujitoa out na kwenda beach ikibidi.
Jiepushe kabisa na unywaji wa pombe katika kipindi hiki.
Jifunze kuanza kuwahi kurudi nyumbani na pika chakula kizuri unacho kipenda.
Pendelea kunywa juice ya machungwa kwa wingi.
Zima sim kabisa inapo fika muda wa kulala.
Pelndela kuangalia movie za simulizi mbalimbali.
Soma vitabu na kadhalika nakadhalika.
Usijaribu kuingia kwenye mahusiano mapya hadi ukae sawa kabisa.
Amemaniisha ukiombwa namba usiibanie toa namba bila hivyo utaishia kua mpweke hio ni code # amekupaMwanaume mwenyewe yupoje kwaza?
Uko wapiHEllow
Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
Kibubu chako kimekaukiwa wawekezaji?HEllow
Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
Yani badala aende pm chap anauliza sasa utasaidiwa vipiYani unauliza tena kuna nini ndio maana upo mpweke🤣
Haya basi mpe namba huyo mwenye kitambiAnapewa mwenye kitambi bhna ahahaha
Oyaaa kwani imekuaje?
Imetokea kama bahati tuu maana nilikuwa natafuta mtu wa kumfariji na kumtoa kwenye tope la upwekeHEllow
Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
Kuna ondoa upweke kwa muda🤣🤣🤣🤣 ikifuatia kukimbia id🤣🤣🤣Kuna nini uko?
Mshana again.... Connect me mkuu na huyu mwali basi..Uko wapi
Cc: Leejay49 logout forever?Kuna ondoa upweke kwa muda🤣🤣🤣🤣 ikifuatia kukimbia id🤣🤣🤣