Upweke unaniumiza!

Mh!!!!! nakaa pembeni, kaji umri kangu kaduchu........
 
upweke unauma tunajua lkn unaweza ukafosi kutafuta mwenza wakawa ndio walewale kwa ushauri fikilia yup anaekupenda
 
kama umekwisha pata hongera ila kama hujapata mimi ni mmoja kati ya wanaume wanao jiambua
na ni mstaarabu na ninaji pa heshma kabla sijaheshmiwa tu wasiliane kwa namba 0715696534/0765863532
 
Naitaj wakunitoa mawazo jaman naitaj true love! Nimechoka kuwa upweke naitaj mwanaume mstarabu anayejitambua, mengne 2tajua mbele age 28-35 welcm.
Ni PM nipo Moro. 29yrs, single
 
nimeshindwa kutimiza vigezo coz bado wiki 1 kama utanisubiri
 
kama umekwisha pata hongera ila kama hujapata mimi ni mmoja kati ya wanaume wanao jiambua
na ni mstaarabu na ninaji pa heshma kabla sijaheshmiwa tu wasiliane kwa namba 0715696534/0765863532

Am 31 years, ebu nichek kwa namb 0659751370.

kwa aliye siliosly ani pm...
hivi huoni hao hapo kuwa wako serious au kuna tafsiri nyingine ya kuwa serious, twanga hizo simu hapo bidada:A S 100:upate mume
 
Ohoo! jomba, huyo ni firstlady humu, me wake yupo humu na ndo anaye coordinate kitufe cha BAN, nimepita mie, ushahidi staki

Hahahaha, ngoja nami nicheke kimya kimya mkuu nisije pata BAN
 
Naitaj wakunitoa mawazo jaman naitaj true love! Nimechoka kuwa upweke naitaj mwanaume mstarabu anayejitambua, mengne 2tajua mbele age 28-35 welcm.

Picha muhimu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…