Upweke unauma, natafuta mwenza

Bella!!!!
 
Mimi mkurya sipata nafasi ya kuunguruma ndani ya nyumba yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii fursa nami nimo ngoja niandae maombi ya kuja nayo dm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa kuchoka upweke! Ni kweli kbsa upweke unachosha sana lkn upweke wa wanawake wengi unatokana na kujiona wao nikeki na kuwaringia wanaume wanaowatongoza. Ushauri wangu kwako usichague sana
 
Pole sana kwa kuchoka upweke! Ni kweli kbsa upweke unachosha sana lkn upweke wa wanawake wengi unatokana na kujiona wao nikeki na kuwaringia wanaume wanaowatongoza. Ushauri wangu kwako usichague sana

Sijawahi kuchagua ila ninaowapata inakuwa sio ridhiki yangu nadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…