Nivigumu kukueleza njia zakuondoa upweke mpaka wewe uwe umetwambia ni upweke gani ulio nao then from there we can do something good here!Nakama unaona noma kueleza Pm kati ya watu walio kupa mawazo hapa na uhakika watakujibu kwa pm nasiajabu ukajikuta unarudisha furaha yako kwa mda wote!Habari za Jumapili ndugu zangu wapendwa, nimekuwa najiuliza hili swala,
kila mtu akiwa na upweke ana njia yake ya kuondoa upweke alionao
na mimi pia huwa nina njia zangu za kuondoa upweke nilio nao,lakini kwa
sasa nahisi nafeli, tangu juzi najiona mpweke sana,huwa wa kwanza kuwashauri
marafiki zangu wanapopatwa na hali hii, lakini inaonekana kwangu nimeshindwa
embu marafiki zangu niambieni ni njia gani rahisi ya kuondoa upweke na
kuwa na furaha kama siku nyingine???
Kweli kabisa sijui kwa nn kila ninachofanya naona hakinipendeziMwisho... Usitafute njia ya mkato kutuliza upweke..utakuja kulia!
- Kumbuka hauko mpweke peke yako.. wako wengi sana..kwenye hali kama yako...
- Upweke una mwisho labda kama mwenyewe wataka uwe hivyo.
- Wakati unasubiri mwisho wa upweke tafuta kitu ambacho kitavuta muda na kuchosha akili ili ufike kesho...
Hakuna kipindi unaona kila kitu kibaya unachofanya hufurahii, na wala hujui unataka niniNivigumu kukueleza njia zakuondoa upweke mpaka wewe uwe umetwambia ni upweke gani ulio nao then from there we can do something good here!Nakama unaona noma kueleza Pm kati ya watu walio kupa mawazo hapa na uhakika watakujibu kwa pm nasiajabu ukajikuta unarudisha furaha yako kwa mda wote!
Embu waambie hao, mpenzi hapana kwa sasa
Nivigumu kukueleza njia zakuondoa upweke mpaka wewe uwe umetwambia ni upweke gani ulio nao then from there we can do something good here!Nakama unaona noma kueleza Pm kati ya watu walio kupa mawazo hapa na uhakika watakujibu kwa pm nasiajabu ukajikuta unarudisha furaha yako kwa mda wote!
Hakuna kipindi unaona kila kitu kibaya unachofanya hufurahii, na wala hujui unataka nini
Habari za Jumapili ndugu zangu wapendwa, nimekuwa najiuliza hili swala,
kila mtu akiwa na upweke ana njia yake ya kuondoa upweke alionao
na mimi pia huwa nina njia zangu za kuondoa upweke nilio nao,lakini kwa
sasa nahisi nafeli, tangu juzi najiona mpweke sana,huwa wa kwanza kuwashauri
marafiki zangu wanapopatwa na hali hii, lakini inaonekana kwangu nimeshindwa
embu marafiki zangu niambieni ni njia gani rahisi ya kuondoa upweke na
kuwa na furaha kama siku nyingine???