Upweke

Pole sana.sikilkiza na hata kuimba nyimbo unazozipenda sana.
 
kagongane hiyo hali itapotea fasta.
 

Pole..Huwa inatokea. Hata mimi leo siku nzima nimekuwa mpweke sana. Halafu ukiniuliza ni kwanini wala sina jibu! Inatokea, lakini inapita!
 

Niambie jinsia yako haraka! Ushauri sometimes depends on sex.
 
Pole sana,...
binafsi nikiwa mpweke nalala,....
kama haisaidii nasikiza praise and worship songs,...then
nakaa katika ukimya
maana naamini ni ishara ya Mungu kutaka kusema nawe jambo fulani.
(sio principle kwa wote lakini,that's true for me)
 
Nikiwa mpweke sana natafuta wa kuzungumza nao.
 
Lakini hata kazi zina mwisho wake, unaweza kuachishwa, kufukuzwa au hata kupata redundant, na hata hao marafiki nao ututoka, kutusaliti au kuhama na kuendelea na maisha yao... Ndio maana Waswahili tuna msemo mmoja ...Rafiki mkia wa fisi ukiufuata utakufilisi. Maana marafiki nao ni wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…