Upwork ni social media inayokuwezesha wewe mwenye fani, au unataka kazi ya mtu mwenye fani flani kumpata kirahisi na kwa bei ya ushindani.
Kwamfano wewe unataka mtu akutengeneze logo ya biashara yako, unafungua upwork as client alafu unapost kazi ya logo, kwahyo freelancer wenye fani ya kutengeza logo watakuja kubid hio kazi utawa invite, na utafanya nao maongezi na kuset price.
kazi yako ukishaipata unalipia huko huko upwork kupitia paypal au other international means, inakuwezesha wewe client kuweza kufanyiwa kazi na mtu hata ambae yuko india.