Urafiki au Upumbavu au ? : Kununuliana BIA kwenye sehemu za Starehe!

Hahaaaaaaaaaaaaa ..................kweli marafiki wa pombe hawafai.

 
Wewe rafiki wewe viwango unajiwekea mwenyewe ukisubiri wote mfanane umekwisha hata misafara ya kenge utakuwepo lol.

 
'urafiki wa bar huishia bar' kuna kaukweli flan mlevi mambo yake yakimpindia wengine humkimbia
 
Skulmeti popote pale ulipo......... kuna biya zako nimemwachia Grace pale Zanzibar Bar....... Nimeamua kukufanyia upumbavu flani hivi kudadadadeki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…