Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Hello friends. Leo katika story na sista wangu, nikagundua kuna shida ya mahusiano yabkirafiki inayopata wengi. Akanieleza jinsi ambavyo amekuwa hana bahati ya marafiki wa kweli, kqamba kila rafiki wa kike anayempata wanakuwa masnitch, wanafiki, wana wivu and all the like. Akanieleza jinsi ambavyo alikuwa na a friend akamthamini sana zaidi ya ndugu. Kila akipata shida yeye analivaa tatizo na kuweza kutoa hata cha akiba ila haikuwa hivyo kwa rafikiye. Very sad
Sio kwamba nimeishi miaka mingi sana ila kwa michache niliyokuwepo nimejifunza kitu. Rafiki ni mtu muhimu sana anayeweza kukujenga kuwa mtu bora au kukubomoa na kukuharibu kuwa mtu dhaifu. Wengi sana au tulio wengi tumewahi kumbwa na janga la bad friends na wakaacha majeraha katika mioyo, maisha, familia, koo zetu. Lakini wapo kiasi ambao wamewahi pata marafiki waliogeuka ndugu zao.
Basi kwa kusema hili, kila mtu anayesoma hapa au aliyepita hapa ukipata nafasi ya kuwa rafiki wa mtu basi ishi nafasi yako vizuri. Naelewa dunia haina usawa kwamba unaweza kuplay your part na mtu akakutake for granted lakini haidhuru. Siku zote wema hauozi. Ukiwa mtu bora leo kesho yako huijui yumkini atainuliwa mtu mwema wa kuja kukusaidia wewe.
Tusipende kuumiza marafiki zetu kwa kisingizio cha hata mimi niliumizwa si vizuri. Nasema hivi kwa sababu binafsi nilishakuwa victim wa kuumizwa lakini hilo halinifanyi kuishi kwa ubaya kwa kuwa najua kila mtu kuna part anatakiwa aiplay katika maisha yako iwe nzuri au mbaya.
Tujifunze kuthamini urafiki, kutunza urafiki, kupenda marafiki, kuheshimu urafiki naamini katika hili upendo katika jamii utaongezeka. Be a good friend to somebody dear.
Mtaje rafikiyo hapa mpe respect zake..too bad sina rafiki humu 😊😊 ila nawapa respect wakuu wote katika JF.
#letlovelead#