Urafiki mjini taaabu tupu

Urafiki mjini taaabu tupu

BenMcAfee

Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Mtu anakupamba kuwa demu wako mkali..mara ooh shemeji naona unapendeza..
Mwisho wa cku anakusaidia kukandamiza..
..
 
Acha roho mbaya...eti mpaka anafanana na wewe.Kama hutaki kumpa hiyo lift siumwambie tu badala ya kuumwa roho akiwa amekaa kiti cha pembeni...
 
Rafiki yeyote ulonae mara nyingi behaves kwako vile umruhusuvo wewe....
Ukitaka akupande ni wewe... ukitaka akuheshimu ni wewe.... So man up kama anakuboa mwambie.
 
kumbuka aliyekupa hicho kimkoko unachomyanyasa nacho ndio aliyemyima yeye
 
ila nawe utakua mchoyo tu by nature ka kweli unaelekea hko kwanni usimpe lift tu.................
 
Riziki hutoa mungu leo kwako kesho kwake,tusaidiane ndugu hayo magari hutaenda nayo mbinguni ila wema wako tu.
 
Acha uchoyo na ubinafsi,halafu nahisi huyo rafiki ni wa jinsia yako maanake ingekuwa ni jinsia yenye negative na postive wala usingelalamika,tena we ndo ungekuwa unambembeleza umpeleke sehemu yoyote anayotaka.
 
huu unafiki si umwambie tu, mie ndio nashangaa mtu kutu hupendi unagugumia tu rohoni ya nini, ila mshikaji acha uchoyo. kumbuka leo wewe kesho yeye, maisha haya yana mambo sana
 
da we ni noma una roho mbaya kiasi hichi acha unafiki kama hupendi mwambie unalalamika nini sasa
 
usijali, ukilizoea hilo gari utaona kawaida tu kutoa lifti. Si unaona hata ukifika kwenye bumps unahisi kama unalionea eeh? Ur 2nd car na kuendelea utakuwa unaburuza tu!

yaani wewe lol....
Una kashfa wewe lol
 
...unaroho mbaya kawa wewe mwenyewe ulivyo.....lol
 
Jamani si roho mbaya; unajua sometime mtu anahitaji muda wa kuwa peke yake na muda mzuri ni kwenye Gari! Pia when u don't feel like talking lazima uongee tu!

Mwaya Mcfee; u r not alone n u r not the worst person in the word! Ila huyo mtu mwambie ili usisononeke; when u feel like helping do it kwa moyo mkunjufu, don't do because u r expected to! Kwenye magonjwa na shida say mvua u r obliged!
 
Si rafiki yako yaani mpaka rafiki yako unaona noma kumpa tuu kalift
 
Back
Top Bottom