CCM inawenyeweHawa mabinti ni marafiki hawana
Iko hivi
1. Halima alikuwa chadema inasemekana akamshawishi Esta aliyekuwa CCM naye akahamia chadema
2 Safari ya kuitwa COVID 19
Ndugai alivotaka uwakilishi wa wanawake wa chadema hawakuachana, walikuwa wote kwenye genge la COVID 19
3 Kuhamia CCM tena
Leo Esta amechukua form ya ubunge Jimbo la Bunda Mjini na inasemekana rafiki yake Halima naye atachukua form Jimbo la Kawe
4. Bungeni Huwa wanaketi pamoja
5 Bungeni watarejea kupitia ticket za CCM tena
6 Sina uhakika kama hawa warembo wana wenza wao wa ndoa, nadhani wapo single
7. Hakika hawa ni maraki wa damu,
Wana urafiki uliotukuka
😄😂🤣🤣🤣🤣😄😄😄😂😂😁😁🤣🤣😄😄😄😄Tom boy na demu wake
Unaweza kuthibitisha?Tom boy na demu wake
Usiwe hivyoNjoo nikuthibitishie
Esther Bulaya ana watoto. Sijui kama lesbian wanazaa biologically.Tom boy na demu wake
Wapokee huko Chama chakavuEsther Bulaya ana watoto. Sijui kama lesbian wanazaa biologically.
Halafu cha kuchekesha, sisi CCM tuliwahi kuhoji hilo mapema sana humu JF. Ninyi wajinga na wapumbavu wa Chadema mkawatetea kweri kweri! Leo mnaongea tuliyoongea sisi mwaka 2015! Wajinga na wapumbavu nyie! Ahahahahaha!!
Sijui kama wewe na wajinga na wapumbavu wenzako ni Wakristu. Na kama kuna mmoja wenu ni Mkristu basi anaijua hadithi ya "Mwana Mpotevu" kwenye Biblia. Mimi niliisoma kwa mara ya kwanza nikiwa nasoma Vidudu Shule ya Msingi Mlimani (Chuo Kikuu Dar es Salaam) mwaka 1982!Wapokee huko Chama chakavu
Kawapeni ubunge hao wana wapotevuSijui kama wewe na wajinga na wapumbavu wenzako ni Wakristu. Na kama kuna mmoja wenu ni Mkristu basi anaijua hadithi ya "Mwana Mpotevu" kwenye Biblia. Mimi niliisoma kwa mara ya kwanza nikiwa nasoma Vidudu Shule ya Msingi Mlimani (Chuo Kikuu Dar es Salaam) mwaka 1982!
Na wenyewe ni kina Lucas.CCM inawenyewe
Mkuu ile story bado tuUsiwe hivyo
Ahahahahaha! Nimekupiga kwa hoja ambayo huwezi kujibu. Lakini usijali, nimeupokea ushauri wako. Wasipopata Ubunge watapewa NAFASI zengine.Kawapeni ubunge hao wana wapotevu
Hilo Chama chakavu silinagawa ubunge
Kwa maelezo yako kuna jambo unahisi kati yao,lkn umeacha fumbo,,je kuna ulichofikiria zaidi ya hicho? ,Au watungie mashairi/ mistariHawa mabinti ni marafiki hawana
Iko hivi
1. Halima alikuwa chadema inasemekana akamshawishi Esta aliyekuwa CCM naye akahamia chadema
2 Safari ya kuitwa COVID 19
Ndugai alivotaka uwakilishi wa wanawake wa chadema hawakuachana, walikuwa wote kwenye genge la COVID 19
3 Kuhamia CCM tena
Leo Esta amechukua form ya ubunge Jimbo la Bunda Mjini na inasemekana rafiki yake Halima naye atachukua form Jimbo la Kawe
4. Bungeni Huwa wanaketi pamoja
5 Bungeni watarejea kupitia ticket za CCM tena
6 Sina uhakika kama hawa warembo wana wenza wao wa ndoa, nadhani wapo single
7. Hakika hawa ni maraki wa damu,
Wana urafiki uliotukuka
KWANI UKISEMA HAO NI MTU NA BWANA AKE UTAPIGWA BAN?Hawa mabinti ni marafiki hawana