Urafiki wa damu wa Esta Bulaya na Halima Mdee

Mdee kama haendi ACT basi hagombei, tusubirie muda useme
 
Ester Bulaya Ana mtoto wa kiume mkubwa tu Kazi yake ni Graphic designer.

Ila Halima Mdee hana mtoto na kwa umri wake Sifikirii Kama atazaa tena.

Ila kwa kumtazama Halima she is very smart kwahiyo kwake Siasa inaweza isiwe Ultimation yake anaweza kuwa kuwa Activist katika masharika tofauti.

Ila Bulaya Siasa inaweza ikawa ndo Ultimation yake. Kwahiyo nategemea kumuona Bulaya katika Vyeo vya kisiasa tena
 
Esther ana mtoto tena alisoma Feza Kama sikosei.
Umenishangaza kusema Esther ni Lesbo.
Kama ana hiyo tabia hiyo ni Siri yake binafsi na mshirika wake. Sisi hatujui maana hakuna ambaye alishawaona wakifanya upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…