Urafiki wa Diamond na Alikiba (Picha)

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Wengi hamjui wawili hawa walikuwa na ukaribu wa wastani na kuheshimiana ,By then Diamond alikuwa anamtreat kam bro na mkongwe wa kumuonesha njia ukitizama picha zao utagundua kuna viashiria vya utiifu sana ,hebu tizama kwa umakini :









,hii tabia Diamond anayo sana anajiweka karibu na gari analotaka kuli-overtake kwenye mbio ,rejea urafiki wake na hawa ambao badae aliwapiku na kuwapotezea Alianza na bob junior ,akahamia kwa Mr blue akaenda kwa TID (alikuwa akionekana sana kinondoni studio kwao na jamaa) .
Diamond tatizo lake kubwa linalompelekea kugombana na ma-role model wake ni kwamba kijana kwanza si mlevi wa pombe kiivyo bali mlevi wa totoz sasa bob junior alikuwa mlevi sana ,wakilewa kijana anaiba mademu wa majamaa ,kumbukeni Wema alikuwa demu wa bob junior


lakini kijana akampindua ndo ukawa uhasama ,by the way bad roads leads to beautiful destination ,ili kufanikiwa kuna kipindi lazima ukanyage wengine cha muhimu kuwataka radhi na kutubu kwa allah.
 



uwongo tuu huo wema alikua demu wa bob junior??
 
uwongo tuu huo wema alikua demu wa bob junior??
Ni kweli lakini hawakuwa serious ni kama Diamond alivyopita na irene uwoya ni ile ya shobo za ustaa tuu ila by then diamond hakuwa naubavu wa kuwa na wema iwe kifedha wala jina ,kwani kwa kipindi kile wema alikuwa wa chalz baba level ya kunyanganya ilikuwa ya staa wa kipindi hicho bob junior (toto la kishua mbaya) kina diamond walikuwa vijana wa uswazi wanaojipendekeza kwake .Kumbuka Diamond akajiweka mazima ,bob mwanzo alichukulia poa alipoona jamaa kiki itamtoa akaanza kumbania ,alipotaka arekodiwe wimbo ''gongo la mboto'' alimkazia atoe hela by then kama laki 5 tu niamini mimi diamond alikuwa hana ndo kujitoa kwake kwa masharobaro
 
duh kumbe ndo ishu ilikua hv o
 
duh kumbe ndo ishu ilikua hv o
Hii mkuu huwa inatokea hata kwa marafiki unakuta jamaako labda anajina na mahela wewe uko so humble mnakaa naye baa analeta kila siku mpya baada ya wiki anawapiga chini ,sasa wewe huna hadhi ya kimuonekana ila kitendo cha kupata fulsa ya kukaa nao sana kupitia jamaa you make a true love ,maana wanapata kujua the value inside you beyond umaarufu na pesa ,baada ya hapo jamaa analalamika umemuibia
 
Nakumbuka kila kitu kilianza baada ya Diamond kutoa Hit Songs kadhaa, haters wakaanza maneno maneno na kumshawishi Kiba atoe nyimbo kumfunika Diamond. Akatoa wimbo wa kawaida tu lakini haters wa Diamond wakashangilia na maneno mbofumbofu kibao. Kiba akashtukia mchezo kwamba bifu kwa upande wake linalipa, ndio tunaona mpaka leo hii bado miyeyusho tu
 
Issue ilianza walitakaga kufanga collabo sema walishakubaliana vizuri Diamond aliitwaga radio station sikumbuki ni ipi ila akaanza kusema "hapo tutaona nani atamfunika nani" ndo hapo ali kiba akawa anapiga chenga kupiga chenga ndo mpaka leo bifu limekua kuubwa
 


Bifu lilianza kwa mashabiki. Wote tulikuwepo hapa wakati haters wa Diamond wanavyolazimisha Kiba atoe wimbo.
 
Hii ilishawahi kunitokea hata mimi niling'oa demu wa jamaa baada ya kuja gheto kwake akamzaba sana vibao,full kumzalilisha halaf demu hana hata buku ya nauli daah huku na huku mi nikamuokoa yule demu nikamtoroshea mlango wa nyuma nilikua na buku tano nikamuitia bajaji fasta demu huyoo akalala mbele,asee hiyo ndo ilikua point yangu ya ushindi....good enough demu akapata shavu kampuni flan hivi...nilifaidi sana.....jamaa baada ya kujua nakula mzigo ndo tukawa maadui mpk leo...
 


We Chinga One kumbe shemeji shemeji huku unazima taa?
 
Nan kakwambia Bob junior mtoto wakishua? Namjua vizur mnooo.
 
Hiyo picha ya pili mbona imeeditiwa,huyo ni NEYO na alikiba wala sio diamond!wamefanya editing ya kichwa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…