tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
waswahili walisema.....TENDA WEMA NENDA ZAKO.....!!!:yawn::yawn:
Hili nalo neno,,,asante wifi kwa kunikumbusha.:hug:
tehe, tehe, tehe.huyu nae kasema ukweli mno!
watuuuuu!
inahuuu...
1.ulitaka ulipwe mkuu?????kwa servise ya tuition???wasichana wa chuo urafiki wa madesa siyo mzuri, inakuwaje unakuwa karibu na mtu mkiwa chuo tu hasa pale unapohitaji kufundishwa? Ukienda likizo kimya, ukirudi zinaanza sms za "i miss u", mara nilipoteza simu, mara ooh nimerenew line, naomba namba yako. Mnaowashobokea watu wa aina hii mnapoteza muda, kwani hakuna urafiki hapo.
1.ulitaka ulipwe mkuu?????kwa servise ya tuition???
2.kule home kuna wazazi,ndugu na vidume walivyosoma navyo vipo kibao......subiri zamu yako wakirudi likizo.
3.lakini wakati mwingine ni kweli network haikamati. Kuna watu wanakaa porini kupita maelezo.
Wasichana wa chuo urafiki wa madesa siyo mzuri, inakuwaje unakuwa karibu na mtu mkiwa chuo tu hasa pale unapohitaji kufundishwa? Ukienda likizo kimya, ukirudi zinaanza sms za "I MISS U", Mara nilipoteza simu, mara ooh nimerenew line, naomba namba yako. Mnaowashobokea watu wa aina hii mnapoteza muda, kwani hakuna urafiki hapo.
Mkuu ukipata tumia ukikosa jutia. Sasa akiwa likizo she is busy with someone akirudi be happy karudi salama.
asante mkuu hapo umesema!!!
alafu hiyo avatar yako inanikumbusha enzi zangu, mnajiandaa kwa sikukuu, mnatembea kijiji kizima mkila pilau kwenye majumba ya watu, alafu nashangaa sijui tulikuwa hatushibi au vipi!!!
Ilikuwa maandalizi ya mwenge wa uhuru. Imagine enzi hizo mwenge ulivokuwa, sherehe kama xmass.
Pengine na kuzidi,maana kulikuwa na burudani lukuki hasa jioni/usiku.
Hawezi kuhangaika na mabuti wakati jua linawaka.Acha afurahie sendoz zake mpaka mvua inyeshe tena.Nwy urafiki wa kweli ni ule unaohangaikiwa wakati wote...mlio nao ni urafiki wa msimu kama huutaki uvunje!
Sasa badala ya kulalamika si umpotezee?urafiki wa msimu kwangu hauna nafasi
urafiki wa msimu kwangu hauna nafasi