Urafiki wa Ommy Dimpoz na Boss wa GSM

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,415
Hebu wazee wa mujini warumi mnidadavulie huu ukaribu wa msanii Ommy Dimpoz na Boss mkuu wa GSM ni biashara ipi anayomtangazia....au kuna single inakuja tujiandae?

Mzee wa Shilawadu niPM basi... Mimi habari za mjini zikinipita naumwa.
 
hebu wazee wa mujini warumi mnidadavulie huu ukaribu wa msanii Ommy dimpoz na Boss mkuu wa GSM ni biashara ipi anayomtangazia....au kuna single inakuja tujiandae?
mzee wa shilawadu niPM basi....mimi habari za mjini zikinipita naumwaa

Warumi unatafutwa Na mwenzio ili umpe ubuyu wa motomoto
 
Vijana mnasikitisha....haya mambo ya kusukumwa vinyesi yanashabikiwa sana.Sijui mwisho wake utakuwaje?
 
Kijana mambo ya nyuma yamesha haribika.
 
Hebu wazee wa mujini warumi mnidadavulie huu ukaribu wa msanii Ommy Dimpoz na Boss mkuu wa GSM ni biashara ipi anayomtangazia....au kuna single inakuja tujiandae?

Mzee wa Shilawadu niPM basi... Mimi habari za mjini zikinipita naumwa.
vipi shettah na Mo?
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…