Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni kijana wa kike nina miaka 15..........vipi.......tunaanza na somo gani .......napenda zaidi sayansi kimu........na jografia........
Mimi ni kijana wa kike nina miaka 15..........vipi.......tunaanza na somo gani .......napenda zaidi sayansi kimu........na jografia........
Kumbe uko zambia, haya!!
Unataka umfuate....???
Upo chini ya wastani wa uncle bk
Kwani si mambo ya shule tu............
Nilichojifunza hapa, kumbe Mtoa mada yupo nje ya nchi