JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Uraghbishi ni falsafa yenye lengo la kuingia kwenye jamii kwa urahisi zaidi kwa kuamini kwamba jamii inafahamu zaidi matatizo yanayowakabili, sababu zake na jinsi ya kuweza kutatua matatizo yao
Ili Uraghbishi unaofanywa na Asasi Za Kiraia ili uweze kufanikiwa ni lazima uongozi wa jamii husika ushirikishwe
Changamoto zinazoibuliwa hufikishwa na AZAKI kwa viongozi ambao huchukua hatua kutatua kwa kushirikiana na wananchi walioibua changamoto hizo
Upvote
1