Uraia Pacha na Uraia wa Pili (Dual and Second Citizenship)

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233

Tofauti kati ya Dual na Second Citizen

Mtu anaweza kuwa na uraia wa nchi tofauti mbili (dual au Second Citizen) au hata zaidi ya hapo kama nchi ambazo ana uraia zinaruhusu mtu kuwa na uraia zaidi ya nchi moja.

Uraia Pacha:

Muhusika anatambuliwa na nchi zote mbili, analipa Kodi na hata kufanya majukumu ya Kijeshi (Military Service) kwa nchi anayokaa. Uraia pacha unafanyika iwapo nchi mbili husika zina mkataba wa Uraia Pacha.

Mwananchi huyo anapata pension na mafao mengine ya kijamii kutoka nchi moja na sio zote. Kama mtu akitaka kuchukua uraia wa nchi ambayo hakuna mkataba wa Uraia Pacha , alternative ni Second Citizenship

Second Citizenship:​

Hii inatokea iwapo kila nchi husika inamtambua muhusika kama raia wake pekee bila kutambua uraia wake au majukumu yake kwa nchi nyingine.

Unaweza ukapata Second Citizenship kwa 'naturalization' iwapo umekaa katika nchi husika kwa muda wa miaka kadhaa. Kuna nchi zinatoa Uraia kwa wawekezaji, njia ya uwekezaji inachukua muda mfupi kuliko naturalization.

Kuna nchi ambazo hazitoi Second Passport kutokana na sheria zao, kuwa raia wa nchi hizo inabidi ukane uraia wa nchi yako ya kwanza; mfano Germany, Spain, India, China, Singapore. Tanzania n.k.

Faida za Uraia Pacha kwa Muhusika
  • Kutambulika kama raia wa nchi nyingine katika nchi yako, bila kuhitaji kutoa notification, kwahio hakuna hatari ya kuwa penalized kwa kukiuka taratibu.
  • Kwa wale wanaohitajika kufanya majukumu ya kiraia (mfano national service) au kulipa Kodi wakishalipa nchi mojawapo ya makazi basi jukumu lao limekamilika.
  • Diplomatic Protection

Hasara za Uraia Pacha kwa Muhusika
  • Nchi chache zenye mikataba ya Uraia Pacha baina yao Ingawa nchi kama Spain ndio nchi yenye mikataba na nchi nyingi zaidi; Chile, Argentina, Colombia, Peru, Paraguay, Nicaragua, Ecuador, Bolivia, Guatemala, The Dominician Republic, Costa Rica n.k, lakini raia wa nchi nyingine yoyote tofauti na hizo akitaka kuwa raia wa Spain ni lazima akane uraia wake wa mwanzo.
  • Fursa chache..., mfano fursa za Matibabu bora, Elimu au za kibiashara huenda zikawa bora kwa second citizen kuliko raia pacha; mfano raia wa nchi wanachama wa EU kwa nchi za EU
Faida ya Second Citizenship kwa Muhusika
  • Kusafiri bila Visa kwa nchi nyingi zaidi, mfano raia wa tatu wa nchi ni vigumu kwenda UK au US au China au nchi za EU bila VISA wakati mtu mwenye Passport ya Caribbean, au Malta anaweza kutembelea Schengen au UK bila VISA
  • Urahisi wa kupata Visa ya USA kutegemea na nchi husika
  • Kusoma, kufanya kazi au kupata matibabu bora kwa nchi husika
  • Kulipa Kodi ndogo kwa kuamua kupata na kukaa nchi yenye nafuu ya Kodi
  • Kufungua Kampuni katika nchi nyingine, mfano kufungua Kampuni nchi za Caribbean ambazo hazi-disclose information za wawekezaji wake.
  • Fursa ya kuamia nchi nyingine Mfano Malta ambayo ni nchi ya EU kwahio wananchi wake wanaweza kuamia nchi yoyote ya EU
Hasara ya Second Citizenship kwa Muhusika
  • Ulazima wa kutoa taarifa kwa baadhi ya nchi pale unapopata second citizenship
  • Katazo la kufanya kazi katika baadhi ya sekta za serikali
  • Iwapo imetokea vita na nchi zote zinakutambua kama raia wa nchi yao na sio nchi nyingine itabidi uamue upiganie nchi gani kati ya hizo, na ile ambayo haukuichagua kuna hatari ya kuonekana kama msaliti. Ingawa shida hio haiwahusu wawekezaji sababu wawekezaji au familia zao hawalazimishwi ku-serve kwenye jeshi kwenye nchi yao ya second citizenship.
Nchi zinazoruhusu Second Citizenship
AlbaniaBelizeFinlandKosovoNigeriaSouth Africa
AlgeriaBoliviaFranceLatviaPakistanSouth Korea
AngolaBrazilGreeceLebanonPanamaSri Lanka
Antigua and BarbudaBulgariaGrenadaLibyaPhilippinesSweden
ArgentinaChileHong KongLuxembourgPortugalSwitzerland
ArmeniaCosta RicaHungaryMalawiRomaniaSyria
AustraliaCyprusIcelandMaltaRussiaTunisia
BangladeshCzech RepublicIrelandMauritiusSaint Kitts and NevisTurkey
BarbadosDenmarkItalyMexicoSerbiaUSA
BelgiumDominicaJamaicaNew ZealandSloveniaVanuatu

Nchi ambazo unahitaji kukana Uraia wako wa zamani kupata Uraia Mpya
AndorraCongoKazakhstanMozambiqueOmanTanzania
AustriaCubaKuwaitMyanmarQatarThailand
AzerbaijanEstoniaKyrgyzstanNamibiaSan MarinoTurkmenistan
BahamasEthiopiaLaosNepalSaudi ArabiaUzbekistan
BahrainGermanyLiechtensteinNetherlandsSingaporeVenezuela
BelarusGuatemalaLithuaniaNicaraguaSlovakiaVietnam
BotswanaGuyanaMoldovaNigeriaSpainYemen
ButaneHaitiMonacoNorth KoreaTaiwanZimbabwe
 
Dunia ya Sasa uraia Pacha unafaida nyingi sana kuliko hasara
 
Uraia Pacha unategemea Mikataba huwezi kuwa na Uraia Pacha kati ya Nchi A na B wakati nchi B haikutaki....

Ingawa unaweza ukawa na Second Citizenship sababu nchi A na B zote zinakufumbia macho kwamba wewe ni raia wao bila kutambua wajibu wako kwa nchi nyingine, ingawa kuna nchi hazitaki any of the above, yaani lazima ukane wako wa mwanzo kabla ya kuchukua wa pili...
 
WaTz hawakani uraia wako, angalia katiba.
 
Back
Top Bottom