Uraia Pacha, nini kipo nyuma ya hili suala? Watanzania ndio hatutaki au Serikali?

Tanzania iruhusu Uraia Pacha (Dual Citizenship)

  • Waruhusu

  • Wasiruhusu

  • Sijui Chochote

Results are only viewable after voting.
Kuna watu fulani ni wajinga fulani wana uoga fulani wa kijinga tuu!, kama ule ujinga wa kunajisi katiba yetu kwa uoga tuu wa mgombea binafsi.
P
Si mchezo,
Ikija swala la uraia pacha serikali inaogopa sana.
 
Kuna watu fulani ni wajinga fulani wana uoga fulani wa kijinga tuu!, kama ule ujinga wa kunajisi katiba yetu kwa uoga tuu wa mgombea binafsi.
P
Ukienda mikoa ya Rukwa na kigoma kuna wahamiaji haramu kibao ila watz wenzao waishio nje ndio tishio kwa usalama
 
TUkatafute pesa nje tuwekeze bongo.
Diaspora wakenya wanachangia sana uchumi wao.
Hata wanigeria.
Sisi tunabaniana sana vijana kwenda nje kusaka maisha.
Tuna nguvu kazi tele isiyo faida kwa taifa ni Bora tuiexport nje ikalete pesa ndani.
Kama wafanyavyo wa Filipino nusu yao wapo nje ya nchi yao wanabeba box.
 
Sababu walizonazo ni za kisiasa. Wana hofu kubwa vijana walioko nje wataleta taharuki
 
Sawa mkuu
 
Kifungu gani cha katiba au sheria ipi ya nchi inayokataza uraia pacha??
 
Sababu walizonazo ni za kisiasa. Wana hofu kubwa vijana walioko nje wataleta taharuki
Taharuki ya mawazo chanya au ya namna gani? mbona huko kenya , uganda, Rwanda , burundi , africa kusini na kwingineko hizo taharuki hazipo? au ni sisi pekee tunaogopa kivuri cha uzazi wetu
 
TUkatafute pesa nje tuwekeze bongo.
Diaspora wakenya wanachangia sana uchumi wao.
Hata wanigeria.
Sisi tunabaniana sana vijana kwenda nje kusaka maisha.
Tuna nguvu kazi tele isiyo faida kwa taifa ni Bora tuiexport nje ikalete pesa ndani.
Kama wafanyavyo wa Filipino nusu yao wapo nje ya nchi yao wanabeba
Dv lottery dirisha liko wazi mbaka nov 5 mwisho, vijana waombee ni bureee kabisaa
 
Back
Top Bottom