Kumekuwa na malalamiko kadhaa nchini kuh uraia pacha. Kuna wanaotaka Tanzania iruhusu uraia pacha na wengine wanataka tuendelee na uraia huu single.
Aidha wapo wanaotaka wale waliokana uraia wa Tanzania na kupata uraia wa nchi zingine basi wapewe hadhi maalum ili wapate zile haki ambazo watanzania wengine wanazipata.
Nini maoni yako ili wadau/mamlaka husika zisikie?