Waziri Membe says, and I quote:
Akitoa mfano mmojawapo bila kutaja majina ya wahusika, Waziri Membe alisema anaifahamu familia moja ya Watanzania ambayo ililazimika kuchukua uraia wa Kanada kwa sababu za matibabu, na kwamba kuwanyanganya uraia watu hawa ni kuwaadhibu bila kujali uhai wao...na kwamba kwa kuchukua uraia wa Kanada, matibabu hayo yanakuwa bure. Alihoji je, ni haki kuwanyanganya uraia wao wa Tanzania.
Na hapa,
Lunyungu,
Jibu hoja ya Waziri, je ungelikuwa wewe, utamnyima uraia huyo Mtanzania ambaye kaamua kuchukua uraia wa Canada ili watoto wake wagonjwa watibiwe? Mifano ya namna hiyo iko mingi sana na ndio inawafanya watu wachukue uraia wa pili.
Kwahiyo bwana
Mtanzania, wewe pamoja na waziri wako
Membe mmeona hii ni tamati ya sababu ya kuleta uraia wa nchi mbili? Kwani ukishakuwa na uraia wa nchi mbili au zaidi ndio maana yake hulipi hizo costs za matibabu? Na wale watanzania waishio nchi kama US je, sababu yao ni ipi? Maana be raia or not, utalipia tu gharama za matibabu. Mister Minister, if this is your reason for supporting dual citizenship, then you are plain shallow!
Better yet, Kwanini msiboreshe huduma za afya pale Tanzania, kwasababu mkishaboresha, watu hawatakuwa na sababu za kutafuta matibabu nje kwa kasi na wingi wa sasa hivi. Je watu watachukua uraia nchi zingine kwa sababu ipi? Au hapo utakuja na sababu nyingine ya ku-validate uraia wa nchi mbili? Mkishaboresha sekta hii, then tutakuwa na listi ndogo sana ya kupeleka wagonjwa kutibiwa nje ambao watakuwa na ulazima, na wizara ya afya itaweza ku-afford hizi if need be.
Ni kwa nini tumuadhibu huyu Mtanzania wa kuzaliwa kwa kuwa tu amechukua uraia wa nchi nyingine ili apate elimu ama ajira na kusaidia ndugu zake waliobaki Tanzania? alihoji Waziri Membe. .
Here you go again Mister Minister, boresheni sekta za elimu, sio kukimbilia quick fixes tu. Halafu mnashangaa hao wafadhili mnaowapigia magoti kila siku walete misaada, na wakileta, wana leta quick fix type of aid. They learned from the best, they learned from you!
Mimi naona hivi, kama hii kitu ya dual citizenship ikipitishwa, which I know it will, itapitishwa kwa sababu ya ubabe na kufuata tu upepo, kwasabau kuna nchi zinafanya, basi na sisi tufanye, otherwise, reasons zinazotolewa ku-support this thing are sadly, plain shallow! I said it before, and Im saying it now, hakuna kinachosemwa hapa zaidi ya kutafuta mteremko tuuu! Dezo itatuuwa wabongo, we may as well have the Canadians et al, waje wachukue nchi na kututawala physically ili tusichukue short-cuts za kuhitaji services zao! Be that as it may, watatujengea hospitali na madikari wao waje TZ na tutapata matibabu ya bureee!