"uraia" wa tz au z'bar na uhai wa muungano

"uraia" wa tz au z'bar na uhai wa muungano

Ms Judith

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
2,563
Reaction score
929
Wapendwa,

kwa wale waliomsikiliza Mzee Warioba mtakumbuka kuwa kidogo hali ya hewa bungeni ichafuke pale Warioba aliposema kuwa tume yake inapendekeza suala la uraia libaki kuwa la muungano, yaani muungano uwe wa nchi mbili, serikali tatu ila uraia wa nchi moja (Tanzania).

nionavyo mimi, kwa kuwa wazanzibari hujitambulisha kama "wazanzibari" na sio "watanzania" (nina ushahidi na hili), basi nadhani uhai wa muungano unawekwa njia panda na suala hili la uraia.

mbarikiwe sana

Glory to God!
 
kwani kuna dhambi gani kuvunja muungano?

Hata hivyo Mtikila alisema hivi, nanukuu; ''hata aliyenichagua kuwa mjumbe wa bunge maalumu la katiba anajua nipo hapa bungeni kwa ajili ya kuvunja muungano''
 
Back
Top Bottom