Wapendwa,
kwa wale waliomsikiliza Mzee Warioba mtakumbuka kuwa kidogo hali ya hewa bungeni ichafuke pale Warioba aliposema kuwa tume yake inapendekeza suala la uraia libaki kuwa la muungano, yaani muungano uwe wa nchi mbili, serikali tatu ila uraia wa nchi moja (Tanzania).
nionavyo mimi, kwa kuwa wazanzibari hujitambulisha kama "wazanzibari" na sio "watanzania" (nina ushahidi na hili), basi nadhani uhai wa muungano unawekwa njia panda na suala hili la uraia.
mbarikiwe sana
Glory to God!