Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Uraibu(addiction) ni ile hali ya kukipenda kitu fulani kuliko hali ya kawaida ya binadamu na kuwa katika hali ya kutaka kukipata na kukitumia muda wote. Hali ya uraibu huwa hatari zaidi kwa afya, uchumi au mahusiano ya muathrika.
Ukiwa katika hali uraibu wa kitu au jambo fulani usipopata hicho kitu unakuwa kama mtu mgonjwa na wakati mwingine huhitaji huduma za wanasaikolojia kuweza kuishinda hali hiyo.
Baadhi ya aina maarafu za uraibu duniani ni
1. Dawa za kulevya
2.Pombe
3.Sigara
Aina nyingine za uraibu ni wa chakula, dini, siasa, mpira, TV/movies n.k
Ni uraibu upi ambao kwako umekuwa changamoto?