Zile information za uongo kuhusu corona na tanzia; zinakera sana. HOFU umekuwa ugonjwa mkubwa hata kuliko Kovidi-19 yaani, dah!??? Jamani wenye uraibu huu badilikeni!???Uraibu(addiction) ni ile hali ya kukipenda kitu fulani kuliko hali ya kawaida ya binadamu na kuwa katika hali ya kutaka kukipata na kukitumia muda wote. Hali ya uraibu huwa hatari zaidi kwa afya, uchumi au mahusiano ya muathrika.
Ukiwa katika hali uraibu wa kitu au jambo fulani usipopata hicho kitu unakuwa kama mtu mgonjwa na wakati mwingine huhitaji huduma za wanasaikolojia kuweza kuishinda hali hiyo.
Baadhi ya aina maarafu za uraibu duniani ni
1. Dawa za kulevya
2.Pombe
3.Sigara
Aina nyingine za uraibu ni wa chakula, dini, siasa, mpira, TV/movies n.k
Ni uraibu upi ambao kwako umekuwa changamoto?
Mbona kamari umeisahau? Moja ya mambo yaliyonirudisha nyuma kiuchumi ni kamari, nashukuru Mungu nimepunguza kwa 95% japo haikuwa rahisi. Ilinikolea hadi nikawa sina mda na mahusiano mpaka nikilala naota nacheza kamari.
kujichua daaaah nimeshindwa kabisa kuacha punyeto nikijitahid sana nakaa siku mbili ya tatu lazima nijichue
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Vinauma lakini ndio basi tena.Huwa hamuumii vidole?
Mkuu ulikuwa pabaya sana,unasuka mikeka hadi unasahau mahusiano![emoji2]
Wengine wanageuka wezi kabisa sababu ya kamari, hongera kuikimbia.