Uraibu gani unaonekana kuwa hauna madhara lakini unaweza kukuangamiza

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Kila binadamu dunia kuna kitu ambacho anapendelea kukifanya bila kujali icho kitu kina madhara katika nyanja tofauti tofauti kijamii,kiuchumi na kifamilia mathalani akifanya icho kitu anapata amani na furaha ya moyo

Ni kitu gani ambacho lazima ukifanye hata iweje na unakipenda bila kujali matokeo yake?
 
Uraibu wowote hata wa chakula ni mbaya kiafya. Mimi nimepata uraibu wa korosho aisee nakula korosho vibaya sana siku nisipozila najiskia kama sijui vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…