Addiction ni tatizo lingine kabisa, unafanya kitu flani kinakupa raha, ukiendekeza sana kinakukamata akili na nafsi,
Kusema kuutibu mwili kwa kumeza vidonge, mizizi, kuogea dawa, kufukizwa, n.k. utahangaika sana, Tatizo sio mwili bali ni akili, mtu anaamua mwenyewe kwa hiari yake.
Dawa za uraibu ni kuwepo kwenye mazingira ya kushindwa kupata kilevi kwa urahisi, kuachana na kampani za watumiaji kukwepa peer pressure, kutafuta mbadala wa kilevi, kuwa na hofu ya kutumia kilevi, n.k.
Maamuzi binafsi - Ni suala la mraibu kuamua kutoka moyoni "iMETOSHA NAACHA!!", Hii hainaga ngoja nitumie / nifanye leo siku ya mwisho, huwa ni vita kali mno kwasababu ya arosto / kiu kali sana inayoongezeka kadri siku zinavyoenda ndani, Inabidi upambane ufike mwezi kuondoa sumu ya uraibu kwa kiwango kikubwa
Hofu ya kuendelea kutumia kilevi - Unaweza kujijengea hofu ya kutumia kilevi kwa kuona sio sawa unachofanya mfano kufikiria magonjwa unayoweza kuyapata na jinsi yatavyoathiri maisha yako, familia yako, n.k. Pia hofu nyingine zinatengenezwa mfano walevi waliokubuhu hupasuliwa mayai kwenye makalio, wanapoamka wanadhani wameingiliwa, Hofu inaanza kuwepo ya kutorudia kunywa kwa kuhofia kubakwa na aibu waliyopata.
weka mbali vifaa vya matumizi ya uraibu - Mfano kwa wapiga punyeto wanaotumia mafuta ya mgando, Hakikisha mazingira ya chumbani hayana mafuta ya mgando jwasababu kila ukiyatazama unaingia na ushawishi.