Uraibu wa kupenda soka na kubeti ni majanga kwa taifa, yakemewe yakomeshwe

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Mambo haya yameshaingia kwenye mfumo wa maisha wa mtzania wa kawaida kiasi yanaonekana kuwa ni sehemu ya kawaida ya maisha.

Wakati mechi kubwa inachezwa sio ajabu kukuta mtu au kundi la watu wake kwa waume mchana wa jua kali wamejifungia kibandani "kibandaumiza" kama mazombi eti wanabeti au kufuatilia mechi na cha ajabu wakitoka hapo ni full stori za kusimuliana yale ambayo wote wameshayaona.

pia sio ajabu kukuta makundi ya wafanyakazi na wafanyabiashara wake kwa waume mabibi kwa mabwana wakiondoka mapema sehemu zao za kazi kwenda kutazama mechi. na hapo haijalishi kama mtu huyo amefikia malengo ya kazini kwake ya siku iyo au la kubwa ni lazma akatazame mpira iwe isiwe.

Wengine wanajikuta kutwa kucha wanatembea na mavazi yanayowanasibisha na vilabu mbalimbali vya ndani au nje ya nchi na wengine huenda mbali kwa kuingia na mavazi ayo hata sehemu za ibada. apa ndio tulipofika kama nchi.

Baada ya mechi kubwa uwe na hakika wafanyakazi weengi waliojiajili na walioajiliwa, vijakazi kwa viongozi hawafanyi kazi zaidi ya kupiga soga na kufanya mizaha juu ya mechi ya jana au juzi ambayo wote walishaiona na kwa hakika hawawezi kubadili chochote kuhusu mechi hiyo ni basi tu ni ulevi tu.

huu ni uraibu kama uraibu mwingine unaopaswa kukomeshwa kama kweli tunataka nchi yetu itoboe.
 
Acha kuingilia starehe za watu,

As long as hawavunji katiba ya inchi then shida Iko wapi?

Kila mtu ana Uhuru wake,

Usitake kupangia watu cha kufanya
 
Mambo haya yameshaingia kwenye mfumo wa maisha wa mtzania wa kawaida kiasi yanaonekana kuwa ni sehemu ya kawaida ya maisha.

Wakati mechi kubwa inachezwa sio ajabu kukuta mtu au kundi la watu wake kwa waume mchana wa jua kali wamejifungia kibandani "kibandaumiza" kama mazombi eti wanabeti au kufuatilia mechi na cha ajabu wakitoka hapo ni full stori za kusimuliana yale ambayo wote wameshayaona.

pia sio ajabu kukuta makundi ya wafanyakazi na wafanyabiashara wake kwa waume mabibi kwa mabwana wakiondoka mapema sehemu zao za kazi kwenda kutazama mechi. na hapo haijalishi kama mtu huyo amefikia malengo ya kazini kwake ya siku iyo au la kubwa ni lazma akatazame mpira iwe isiwe.

Wengine wanajikuta kutwa kucha wanatembea na mavazi yanayowanasibisha na vilabu mbalimbali vya ndani au nje ya nchi na wengine huenda mbali kwa kuingia na mavazi ayo hata sehemu za ibada. apa ndio tulipofika kama nchi.

Baada ya mechi kubwa uwe na hakika wafanyakazi weengi waliojiajili na walioajiliwa, vijakazi kwa viongozi hawafanyi kazi zaidi ya kupiga soga na kufanya mizaha juu ya mechi ya jana au juzi ambayo wote walishaiona na kwa hakika hawawezi kubadili chochote kuhusu mechi hiyo ni basi tu ni ulevi tu.

huu ni uraibu kama uraibu mwingine unaopaswa kukomeshwa kama kweli tunataka nchi yetu itoboe.
Una habari kuwa Baba Levo amepata zaidi ya milioni mia moja jana?😁😁
 
Hapo kikomeshwe kipi??
Banda umiza?
Story baada ya mpira kuisha?
Watu kufunga maduka sababu ya mpira?
Betting?
Au simba na yanga?

Sijaelewa point yako kikomeshwe kipi?
 
IMG_20241230_193926_542.jpg
 
Back
Top Bottom