Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
Kuna jambo linatatiza bongo yangu kiasi cha kuisi kuna haja ya kuuliza kama wataalamu wanaweza kutupatia majibu kama kuna mahusiano ya ukaribu kati ya kupenda au kujisikia sana kufanya tendo la ndoa na IQ ya bongo zetu.
Katika utafiti wangu niliofanya nikiwa zangu sober huku mtaa wa sokomoko mabanda mpunga katika nchi ya kusadikika nimebaini kuwa, kitendo cha mtu kujisikia mara nyingi kuhitaji kufanya ngono na kweli akipata nafasi ufanya kweli na huwa na uwezo wa kuridhisha wenzi wengi kwa mkupuo wa siku, wiki au mwezi.
Hili utegemea sana afya ya akili ya muhusika na genes alizorithi ambazo umpa vichocheo mwili na wala siyo kosa la muhusika bali ni nature ndiyo inakuwa imempendelea.
Wapo wanaotamani wawe kama yeye ila ndo olaah wakishashindwa utasikia majina kama mara oh yule Malaya,kicheche, kiwembe n.k kumbe masikini wanastress za kugongewa ukizingatia mwengine nikimoja tu kwa mwezi mzima huko mtaani utasikia akisifiwa haa yule kaka ni mstaarabu...yaani yule dada anajiheshimu kumbe hamu hakuna.
Back kwenye maada, sasa katika ukasuku na usukununu nikabaini kuwa watu hawa waliojaaliwa mambo haya iwe ni mashuleni,mitaani, makazini n.k wakishaappear tu sehemu kila mtu anakuwa na mashaka.
Hofu juu ya kupokonywa tonge mdomoni uongezeka maana pindi akizubaa tu teleza anapita watu wa kariba hii wanauwezo wa kutembea na robo tatu ya taasisi na kila aliyetoka nao anabaki na experience na jamaa/manzi akitaka tena kukuchapia/kukuchukulia nisekunde tu haina haja ya kubishana naye usije ukarikoroga.
Sasa mashababi hawa na makwishkwambi hawa ukiacha hili la uzinzi wana lipi lingine la ziada ambalo hatuna, katika usakuzi ikabainika bwana hawa majamaa wengi ni bright kwa kuwa brain yao ni active na ujitune on fasta wanaporespond towards vikwazo/mihemuko mf,kukataliwa,kufumaniwa n.k kwao siyo inshu na udomo zege kwao ni kitu cha kufirika, kujifanyisha hili wapate cha uvunguni hata kama ni kubadili tabia
Kwao ni easy tu hivyo hawa watu ni intelligent kwenye creativity na saikolojia ya kukopi na akili ya kila mtu wanayemtaka na hivyo kumpata haiwapi shida,
Hivyo hata kwenye fursa au kazi uwakosi kirahisi na pia ku-make kwao mkwanja au kuyapatia maisha kwao huwa kitu simple ukicompare na wale wa njia ndefu maana suala la connection kwao huwa siyo inshu na ukiwa bado unashangaa shangaa unagundua.
Madam boss ameshatafunwa kitambo ni wewe pekee ndo mwenye maangaiko hapo kazini kajamaa walaa kenyewe nikusifiwa tu tena kako second in command ilihali hakana cheo chochote.
Utaniuliza sasa haya yanauhusiano gani na IQ ya muhusika let say tutumie kigezo cha akili za darasani.
Nami nikuulize swali, ukiondoa sifa ya kupenda sana chini kwa makabila yale ya kanda ya ziwa na kaskazini hasa pale kilima kyaro sifa nyingine walionayo watu hawa wa makabila pendwa ya ukiomba tu unapewa na wakikutaka una ujanja zaidi ya kuwapa unahisi ni nini kama siyo kitabu na ndiyo wasomi kuliko wengine na hata kwenye mkwanja na utafutaji wamekuwa wakiongoza wengine tukifuatia.
Dah! hangover siyo mchezo mwahisa ngoja nijongee kwa mwanahawa nikapate supu ya kongolo ili kazi iendelee..."
NB;
Tahadhari UKIMWI upo chukua HATUA, PIMA UJITAMBUE, UJIKINGE NA UWALINDE UWAPENDAO.
Kumbuka "uhuni siyo sifa sifa ni weredi.."by Lord Eyes..nakaburi haliitaji mbwembwe ndo maana hawaweki AC.." by Mwana FA.